Sunday School Lessons - Kiswahili
Sunday School Lessons in Kiswahili. Translated from our original Sunday School lessons for young children. Free to use in your ministry!
Kiswahili (or Swahili) is spoken in several countries in Africa, including Tanzania, Kenya, and Uganda. In fact, when taken all together, the people who speak Swahili make up the 3rd largest language group in Africa!
Translating our lessons into Swahili therefore was done in an effort to make these materials available to this amazing group of people from so many different places. God bless you!
Image - Bible distribution in Uganda.
Masomo ya Biblia kwa watoto
wadogo kwa lugha ya Kiswahili. Yametafsiriwa kutoka kwa masomo yetu ya awali ya
Biblia kwa watoto wadogo. Kuwa huru kuyatumia katika huduma yako!
Lugha ya Kiswahili
inazungumzwa katika nchi kadhaa barani Afrika, zikiwemo Tanzania, Kenya na Uganda.
Kwa hakika, tukijumlisha pamoja, watu wanaozungumza Kiswahili wanaunda Kundi la 3 la lugha kubwa zaidi barani Afrika!
Kwa hiyo, kutafsiri masomo
yetu katika lugha ya Kiswahili kulifanyika katika jitihada za kufanya masomo haya
yapatikane kwa kundi hili la watu kutoka sehemu mbalimbali. Mungu akubariki!
Picha – Usambazaji wa Biblia nchini Uganda.
Sunday School Lessons - Kiswahili
Sunday School lessons in Kiswahili for children ages 4-7. These Bible lessons each include activities, such as games, skits, songs and crafts. Download them as series of lessons and use them for free in your ministry.
- GOD LOVES ME - (8 lessons)
- LIFE OF JESUS - (12 lessons)
- THE EARLY CHURCH - (6 lessons)
Masomo ya Biblia - Kiswahili
Masomo ya Biblia kwa watoto wa miaka 4-7 katika
lugha ya Kiswahili. Kila moja ya masomo haya ya Biblia linajumuisha shughuli,
kama vile michezo, michezo ya kuigiza, nyimbo na shughuli za ufundi. Pakua kama
mfululizo wa masomo na uyatumie bila malipo katika huduma yako.
More Information on these Lessons...
Maelezo Zaidi
Juu ya Masomo Haya...
SERIES #1 - GOD LOVES ME! (8 lessons)
- Lesson 1 - God Loves Me!
- Lesson 2 - I am Important to God!
- Lesson 3 - God Loves My Family!
- Lesson 4 - I Can Love God Back!
- Lesson 5 - What is Faith?
- Lesson 6 - God Never Changes!
- Lesson 7 - What is Forgiveness?
- Lesson 8 - God Loves Everybody!
SEHEMU YA 1 - MUNGU ANANIPENDA! (Masomo 8)
- Somo la 1 - Mungu Ananipenda!
- Somo la 2 - Mimi ni
wa Muhimu kwa Mungu!
- Somo la 3 - Mungu Anaipenda
Familia Yangu!
- Somo la 4 - Ninaweza Kumpenda
Mungu Pia!
- Somo la 5 - Imani ni Nini?
- Somo la 6 - Mungu Habadiliki
Kamwe!
- Somo la 7 - Msamaha ni
Nini?
- Somo
la 8 - Mungu Anampenda Kila Mtu!
SERIES #2 - CHRISTMAS! (6 lessons)
- Lesson 1 - What is Christmas to You?
- Lesson 2 - The Promise of a Savior King
- Lesson 3 - No Room in the Inn!
- Lesson 4 - Of Shepherds and Angels
- Lesson 5 - Wise Men from Afar
- Lesson 6 - The Flight to Egypt
SEHEMU YA 2 - KRISMASI! (Masomo 6)
- Somo la 1 - Krismasi ni Nini?
- Somo la 2 - Ahadi ya Mfalme Mwokozi
- Somo la 3 - Hakuna Nafasi katika Nyumba
ya Wageni
- Somo la 4 - Wachungaji na Malaika
- Somo la 5 - Wataalam wa Nyota (Mamajusi)
kutoka mbali
- Somo la 6 - Kukimbilia Misri (Mungu
Anamlinda Mtoto Yesu)
SERIES #3 - LIFE OF JESUS (12 lessons)
- Lesson 1 - Jesus at the Temple (at age 12)
- Lesson 2 - The Baptism of Jesus
- Lesson 3 - Jesus Chooses His Disciples
- Lesson 4 - Jesus Turns the Water into Wine
- Lesson 5 - Jesus Healed People
- Lesson 6 - Jesus Calms the Storm
- Lesson 7 - Jesus Feeds the 5000
- Lesson 8 - Let the Little Children Come to Me
- Lesson 9 - Parable of the Prodigal Son
- Lesson 10 - Parable of the Workers in the Vineyard
- Lesson 11 - Light of the World: Salt of the Earth
- Lesson 12 - Jesus is The Way
Also Included - Leading Children to Jesus as their Savior
SEHEMU YA 3 –
MAISHA YA YESU (Masomo 12)
- Somo la 1 - Yesu
Hekaluni (akiwa na Umri wa miaka 12)
- Somo la 2 - Ubatizo
wa Yesu
- Somo la 3 - Yesu
Awachagua Wanafunzi
- Somo la 4- Yesu
Abadilisha Maji Kuwa Divai
- Somo la 5 - Yesu
Awaponya Watu
- Somo la 6 - Yesu
Atuliza Dhoruba
- Somo la 7 - Yesu
Awalisha Watu 5000
- Somo la 8 - Waacheni
Watoto Wadogo Waje Kwangu
- Somo la 9 - Mfano
wa Mwana Mpotevu
- Somo la 10 - Mfano
wa Wafanyakazi katika Shamba la Mizabibu
- Somo la 11 - Nuru
ya Ulimwengu: Chumvi ya Dunia
- Somo la 12 - Yesu
Ndiye Njia
Pia Inajumuisha:
Kuwaongoza watoto kwa Yesu kama Mwokozi Wao
SERIES #4 - EASTER (8 lessons)
- Lesson 1 - Palm Sunday
- Lesson 2 - The Last Supper
- Lesson 3 - Jesus Prays at Gethsemane
- Lesson 4 - Friday was Sad, but Sunday was Glad!
- Lesson 5 - The Empty Tomb! Easter Sunday!
- Lesson 6 - Jesus Appears to His Disciples ("Doubting" Thomas)
- Lesson 7 - Jesus Makes Breakfast (The Reconciliation of Peter)
- Lesson 8 - The Great Commission (Jesus Ascends into Heaven)
SEHEMU
YA 4 - PASAKA (Masomo 8)
- Somo la 1 - Jumapili ya Mitende
- Somo la 2 - Karamu ya Mwisho pamoja na Wanafunzi Wake
- Somo la 3 - Yesu Anaomba Katika Bustani
- Somo la 4 - Ijumaa ilikuwa ya Huzuni,
lakini Jumapili ilikuwa ya Furaha!
- Somo la 5 - Kaburi Tupu! Jumapili ya
Pasaka!
- Somo la 6 - Yesu Awatokea Wanafunzi Wake
(Tomaso Mwenye Shaka)
- Somo la 7 - Yesu Atengeneza Kiamsha
Kinywa! (Upatanisho wa Petro)
- Somo la 8 - Agizo Kuu (Yesu Anapaa
Mbinguni)
SERIES #5 - THE EARLY CHURCH (6 lessons)
- Lesson 1 - God Sends the Holy Spirit (Pentecost)
- Lesson 2 - The Church Grows (New Believers)
- Lesson 3 - Little Churches All Around (Missions)
- Lesson 4 - Light of the World/ Salt of the Earth
- Lesson 5 - Body of Christ
- Lesson 6 - Bride of Christ (Wedding Supper of the Lamb)
SEHEMU
YA 5 - KANISA LA MWANZO (Masomo 6)
- Somo la 1 – Mungu Anamtuma Roho Mtakatifu
(Pentekoste)
- Somo la 2 – Kanisa Lakua (Waumini Wapya)
- Somo la 3 – Makanisa Madogo Kote
(Misheni)
- Somo la 4 – Nuru ya Ulimwengu/ Chumvi ya Dunia
- Somo la 5 – Mwili wa Kristo
- Somo la 6 - Bibi-Arusi wa Kristo (Karamu
ya Harusi ya Mwana-Kondoo)
SERIES #6 - GENESIS (13 lessons)
- Lesson 1 - Creation
- Lesson 2 - Adam and Eve
- Lesson 3 - Cain and Abel
- Lesson 4 - Noah and the Ark
- Lesson 5 - Abraham's Call
- Lesson 6 - Isaac - The Son of Promise
- Lesson 7 - Isaac and Rebekah
- Lesson 8 - Jacob and Esau
- Lesson 9 - Jacob Marries Rachel
- Lesson 10 - Jacob is Renamed Israel
- Lesson 11 - Joseph's Coat of Many Colors
- Lesson 12 - Joseph in Egypt
- Lesson 13 - Joseph Forgives His Brothers
SEHEMU
YA 6 - MWANZO (Masomo 13)
- Somo la 1 - Uumbaji
- Somo la 2 – Adamu na Hawa
- Somo la 3 – Kaini na Habili
- Somo la 4 – Noa na Safina
- Somo la 5 – Wito wa Abrahamu
- Somo la 6 - Isaka – Mwana wa Ahadi
- Somo la 7 – Isaka na Rebeka
- Somo la 8 – Yakobo na Esau
- Somo la 9 – Yakobo Anamuoa Raheli
- Somo la 10 – Yakobo Anapewa Jina Jipya
Israeli
- Somo la 11 - Vazi la Yusufu la Rangi Nyingi
- Somo la 12 – Yusufu huko Misri
- Somo la 13 – Yusufu Anawasamehe Ndugu Zake
SERIES #7 - MOSES to THE PROMISED LAND (7 lessons)
- Lesson 1 - Moses in the Bulrushes (Miriam)
- Lesson 2 - Moses and the Burning Bush
- Lesson 3 - Moses and Pharoah (The Ten Plagues)
- Lesson 4 - The Passover
- Lesson 5 - Crossing the Red Sea
- Lesson 6 - The Ten Commandments
- Lesson 7 - The Promised Land
SEHEMU
YA 7 - MUSA HADI NCHI YA AHADI (Masomo
7)
- Somo la 1 - Musa katika mafunjo (Miriamu)
- Somo la 2 - Musa na Kichaka Kinachowaka
moto
- Somo la 3 - Musa na Farao (Mapigo Kumi)
- Somo la 4 - Pasaka
- Somo la 5 – Kuvuka Bahari ya Shamu
- Somo la 6 – Amri Kumi
- Somo la 7 – Nchi ya Ahadi
On a Personal Note ...
I would personally like to thank our friends at Biblica Africa, as well as our translator, Ruth Mugeni, and her team, for making these translations into Kiswahili possible.
We are indebted to Ruth for her tireless work, not only in translating the lessons but also in editing the songs and activities to make them more culturally relevant for the children of Africa.
Asante,
Sharon
Kwa Nafasi Yangu Binafsi…
Ningependa kuwashukuru marafiki zetu wa
Biblica Africa, pamoja na mtafsiri wetu, Ruth Mugeni, na timu yake, kwa
kufanikisha tafsiri hizi katika lugha ya Kiswahili.
Tunamshukuru Ruth kwa kazi
yake, sio tu katika kutafsiri masomo haya bali pia katika kuhariri nyimbo na
shughuli za ufundi ili kuzifanya zieleweke zaidi kwa watoto wa Afrika.
Asante,
Sharon
Back to Top - Sunday School Lessons - Kiswahili
Little Guys Lessons - English
HOME